Mwenyeji wa mwaka huu ni Ufalme wa Saudi Arabia, nchi inayotoa kipaumbele kwa juhudi za uboreshaji wa mifumo ya ekolojia.
Pata taarifa kuhusu yanayojiri kote duniani.
Sajili hafla au shughuli yako ili ushiriki katika zoezi la #GenerationRestoration na kadhalika.