Matumizi bora ya rasilimali

Tunafanya kazi ili kuwezesha matumizi bora ya rasimali na kuwepo kwa chumi endelevu kwa mwendo wa kasi.

UNEP
Changamoto

Ni sharti tutenganishe maendeleo na uharifu wa mazingira huku tukihakikisha kuwa tunapokumbatia uchumi usiochafua mazingira, utawezesha kubuni nafasi mpya za kazi na kunufaisha kila mtu.

 

The Work