UNEP

Haki na usimamizi wa mazingira

Tunaunga mkono kuwepo kwa sheria kali na taasisi ili tuwe na sayari bora na watu wenye afya.

UNEP
Changamoto

Bila sheria kali za mazingira na taasisi za mazingira, tutashindwa kutunza na kuhifadhi sayari yetu.

 

Ripoti

Ripoti ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi Duniani: Uchanganuzi wa Hali Mwaka wa 2023

Read Report