Tokeo la 1 hadi la 10
Idadi ya matokeo: 19
Kila asubuhi mjini Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia wenye shughuli nyingi, hali ni ile ile. Jua linapochomoza, maelfu ya wasafiri husongamana kutafuta nafasi kwenye mabasi madogo ya umma. Wengine hukimbilia foleni…
Waheshimiwa Mawaziri, Wajumbe, wafanyakazi wenzangu na marafiki, Itifaki zote zimezingatiwa. Pokeeni salamu zangu! Kwa takribani miaka 40, Kongamano la Mawaziri wa Afrika kuhusu Mazingira limetumika kama kurunzi…
Maoni haya yalionekana kwa mara ya kwanza katika gazeti la The Nation Africa Kote ulimwenguni, miji, bahari mandhari imejazwa na taka za plastiki, na kuhatarisha afya ya binadamu, kutishia bayoanuai na kudhuru …
Ingawa Afrika inachangia kiwango kidogo zaidi ni moja wapo ya kanda zinazoathirika vibaya kabisa na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mjibu wa ripoti ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) ya Adaptation…
Jua linapotua eneo la kati nchini Zambia, miale ya rangi ya machungwa inaakisi kwenye Kinamasi cha Lukanga, eneo kubwa la ardhi oevu lililo na upana wa kilomita mraba 2,600. Njia yenye maji mengi hupita kwenye…
Mheshimiwa Abdel Fattah Al-Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Mostafa Kamal Madbouly, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Sameh Shoukry, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya…
Wakati mwingi katika mwezi uliopita Flipflopi, mashua iliyotengenezwa kutoka kwa plastiki iliyowahi kutumika, imekuwa ikizunguka ziwa kubwa zaidi barani Afrika, ikipambana na upepo mkali na mvua kubwa ili…
Kikosi cha Ulaya, kwa ushirikiano na Magavana wa kaunti sita za pwani nchini Kenya, Wizara ya Ugatuzi na Sekretarieti ya Uchumi wa Maeneo ya Bahari, walizindua mradi wa Go Blue nchini Kenya tarehe 25 mwezi wa Machi…
Hali ya Sayari ni podcast inayoundwa na kutolewa na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP). UNEP ni mhamasishaji mkubwa wa masuala ya mazingira kwenye mfumo wa Umoja wa Mataifa. Kazi yetu ni kushughulikia…
Kuanzia nchi zinazoweka sera hadi kwa wahamasishaji wa #TutunzeMazingira, hatua kubwa zilipigwa mwaka wa 2020 zilizoonyesha huduma kuu tunazonufaika nazo kutoka kwa bayoanuai wakati wa Siku ya Mazingira Duniani. …
Showing 1 - 10 of 19