Tokeo la 1 hadi la 10
Idadi ya matokeo: 89
Zaidi ya hekta bilioni 2 za ardhi zimeharibiwa, na kuathiri mabilioni ya watu na kutishia zaidi ya nusu ya pato la taifa (GDP) duniani. Tunapokaribia nusu ya Muongo wa Umoja wa Mataifa wa Kuboresha Mifumo ya…
Ni rahisi kukatishwa tamaa na hali ya sayari. Binadamu anavunja rekodi zote mbaya kuhusu ongezeko la joto duniani. Mifumo dhaifu ya ekolojia inakabiliwa na shinikizo kubwa. Zaidi ya mimea wanyama na viumbe hai…
Tuzo la Mabingwa wa Dunia hutuza watu binafsi na mashirika ambayo huchukua hatua za kusababisha mabadiliko chanya kwa mazingira. UNEP inatafuta kupendekezwa kwa watu binafsi na mashirika yanayofanya kazi kupata…
https://youtu.be/PeuCmhrYLEsKatika video hii, tunaelezea kwa nini plastiki imetapakaa kila mahali, inatumiwa katika kila kitu kuanzia na vifaa vya kuchezea vya watoto na vifaa vya matibabu hadi kwa bidhaa za…
Ili kuimarisha hatua muhimu za kupunguza uharibifu wa chakula na kufikia SDG 12.3, ni muhimu kuelewa kiwango cha uharibifu wa chakula. Kupima uharibifu wa chakula kunawezesha nchi kuelewa ukubwa wa suala hili, na kwa hivyo kuonyesha ukubwa wa fursa…
Nairobi, Machi 27, 2024 – Nyumbani katika mabara yote chakula kinachoharibika ni zaidi ya milo bilioni moja kwa siku katika mwaka wa 2022, huku watu milioni 783 wakiathiriwa na baa la njaa na theluthi moja ya…
Jamii ya wanasayansi haijawahi kupatana zaidi au kukubaliana zaidi kuhusu hitaji la mabadiliko ya kimataifa ya dharura ya kuwezesha matumizi endelevu ya rasilimali. Toleo hili la mwaka wa 2024 la Mtazamo wa Rasilimali Ulimwenguni linaonyesha umuhimu…
Upendekezaji wa tuzo la mwaka wa 2024 la UNEP la VijanaBingwa wa Dunia umefunguliwa Tuzo la Vijana Bingwa wa Dunia hutolewa kwa heshima ya watu binafsi kati ya umri wa miaka 18 na miaka 30 wanaoonyesha uwezo wa…
Wakati uo huo, mengi ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yako mbali kufikia nusu ya Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu. Licha ya haya yote, mwitikio wa kimataifa kwa changamoto za aina tatu duniani za janga la mabadiliko ya tabianchi,…
Dunia inarejelea hali yake ya awali: Umoja wa Mataifa unatambua Miradi Saba Mikuu ya Kuboresha Mifumo ya Ekolojia Juhudi zinazofanyika Afrika, Amerika ya Kusini, Mashariki ya Kati na Asia Kusini zinazotajwa kuwa…
Showing 1 - 10 of 89