Photo: UNEP
12 Apr 2024 Video Kushughulikia kemikali na uchafuzi

Plastiki, ni kitu cha kusikitisha

Photo: UNEP

Katika video hii, tunaelezea kwa nini plastiki imetapakaa kila mahali, inatumiwa katika kila kitu kuanzia na vifaa vya kuchezea vya watoto na vifaa vya matibabu hadi kwa bidhaa za urembo na ndege. Na ingawa plastiki ilisifiwa kama bidhaa ya ajabu, sasa tunafahamu uharibifu unaofanywa na uchafuzi wa plastiki  kwa mifumo ya ekolojia, kwa tabianchi, kwa afya ya binadamu na kwa uchumi.

Jambo la msingi la kuwezesha kukomesha uchafuzi wa plastiki ni kuachana na plastiki isiyohitajika, kubadilisha tunavyounda bidhaa – ikijumuisha vikasha vya kufungia bidhaa - ili kuviwezesha kutumika tena kwa urahisi zaidi, kuweza kukarabatiwa na kuchakatwa, na kuanza kutumia bidhaa mbabala sisizo na plastiki zitakazosaidia kutunda mazingira, afya ya binadamu na uchumi wetu.

Maudhui Yanayokaribiana