Hutupa bidhaa na huduma tunazohitaji ili kuendelea kuishi na kustawi.
Tunamaliza mali ghafi ya dunia, tunachafua hewa na maji yake, tunayumbisha hali ya hewa, na kupelekea maangamizi ya aina nyingi ya viumbe vyake.
Tunaweza kuitunza sayari huku tukiunda jamii imara na chumi zinaweza kutegemewa. Malengo ya Maendeleo Endelevu hutupa mbinu itakayotuwezesha kuboresha dunia yetu sana ifikiapo mwaka wa 2030.
Learn MoreShirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa hushirikiana na watu kote ulimwenguni kuleta mabadiliko ambayo sayari inahitaji. Tukishirikiana, tunaweza kujiumbia, kuumbia watoto wetu na wajukuu wetu ulimwengu mzuri na endelevu zaidi.