мать и ребенок

Mazingira bora

Hututegemea sisi sote

Mazingira mazuri ni msingi wa maisha ya binadamu

Hutupa bidhaa na huduma tunazohitaji ili kuendelea kuishi na kustawi.  

Urembo asilia
Hewa safi
Chakula
Hali ya hewa nzuri ya kuishi ndani
Nishati
Maji safi
...........
............
...........
.......................
.......................
........................

Lakini tunatoa shinikizo kubwa kwa sayari.

Tunamaliza mali ghafi ya dunia, tunachafua hewa na maji yake, tunayumbisha hali ya hewa, na kupelekea maangamizi ya aina nyingi ya viumbe vyake.

 

Agenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu inatoa utaratibu wazi wa kufuatwa

Tunaweza kuitunza sayari huku tukiunda jamii imara na chumi zinaweza kutegemewa. Malengo ya Maendeleo Endelevu hutupa mbinu itakayotuwezesha kuboresha dunia yetu sana ifikiapo mwaka wa 2030.

Learn More

Tukishirikiana kufanya kazi, tutabadilisha dunia.

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa hushirikiana na watu kote ulimwenguni kuleta mabadiliko ambayo sayari inahitaji. Tukishirikiana, tunaweza kujiumbia, kuumbia watoto wetu na wajukuu wetu ulimwengu mzuri na endelevu zaidi.