Asia Magharibi

Afisi ya Asia Magharibi ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa huhimiza kuweko kwa mazingira safi, hewa na maji safi, na ardhi inayozalisha ili kupata na kudumisha maendeleo endelevu.

Changamoto
Asia Magharibi ina utajiri wa mafuta na uchechefu wa maji, eneo hili limetunukiwa kijiografia na kisiasa kwa sababu linapakana na mabara matatu.

Mambo haya, yakijumuishwa na mengine, yamechangia mizozo na malumbano ambayo yameathiri watu na mazingira vibaya. Amani na usimamizi wa mazingira ulioboreshwa ni muhimu ili kupata utajiri na ukuaji katika eneo hili la Asia Magharibi.

Soma zaidi

What you can do

Mabadiliko ya tabia nchi ni swala nyeti katika kipindi hiki na huu ndiyo wakati mwafaka wa kulishughulikia. Bado tuna mda wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, lakini tutahitaji juhudi nyingi kutoka kwa sekta zote katika jamii.  

#KushughulikiaMazingira

Jifahamishe zaidi kuhusu ajenda ya UNEP wakati wa mkutano wa UNGA Learn more
  • Wabia wetu

Tunaweza kufanya kazi katika eneo la Asia Magharibi kutokana na ubia na serikali, biashara, mashirika ya makundi ya uraia na wahusika wengine kutoka eneo hili. Orodha ya wabia wetu inapatikana hapa..

Our work in West Asia is made possible by our partnerships with governments, businesses, civil society organizations and other actors in the region. A list of our partners is available here.