24 May 2016 Video Malengo ya Maendeleo Endelevu

UNEA2 - Video ya Siku ya Kwanza

Hii ni video ya kwanza kwa msururu wa video tutakazowaletea kutoka kwa Mkutano Mkuu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA) uliofanyika Nairobi, Kenya kuanzia tarehe 23-27 Mei mwaka wa 2016. Washiriki kwa video hii ni Mkurugenzi Mtendaji wa UNEP Achim Steiner, Rais wa UNEA  Edgar Gutierrez na Mratibu wa Great Apes Survival Partnership Doug Cress.

 

 

Maudhui Yanayokaribiana