Habari na Matukio

Showing 1 - 21 of 21

21 results found

Nairobi, Novemba22, 2022 – Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) leo lilitangaza washindi wake wa mwaka wa 2022 wa Tuzo la Mabingwa wa Dunia. Linawatuza…

Categorized Under: Global

Video
Hababi David Attenborough ndiye mshindi wa Tuzo la Mabingwa wa Dunia la Mafanikio ya Kudumu kutokana na juhudi zake za utafiti, uandaji wa makala, na uhamasishaji kuhusu utunzaji na uboreshaji wa…

Categorized Under: Global

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) lilitangaza leo kuwa Hababi David Attenborough ndiye mshindi wa Tuzo la Mabingwa wa Dunia la Mafanikio ya Kudumu  …

Categorized Under: Global

Jua linapotua eneo la kati nchini Zambia, miale ya rangi ya machungwa inaakisi kwenye Kinamasi cha Lukanga, eneo kubwa la ardhi oevu lililo na upana wa kilomita…

Categorized Under: Africa

Tuzo la Mabingwa wa Dunia hutuza watu binafsi, makundi na mashirika ambayo huchukua hatua za kusababisha mabadiliko chanya kwa mazingira. Mwaka huuupendekezaji wa watu binafsi na mashirika…

Categorized Under: Environment under review Global

Tuzo la Mabingwa wa Dunia hutuza watu binafsi, makundi na mashirika ambayo huchukua hatua za kusababisha mabadiliko chanya kwa mazingira. Mwaka huuupendekezaji wa…

Categorized Under: Global

Huenda ikawa ni tumbili wa jirani aliyeshuka chini kujiunga naye alipokuwa anajifunza piano, au klabu ya wanyamapori aliyoanzisha katika shule ya msingi mjini…

Categorized Under: Global

Tuzo la Umoja wa Mataifa la ngazi ya juu zaidi mwaka huu linamtuza waziri mkuu, mwanasayansi, wanawake wa kiasili, na mjasiriamali kwa kusababisha mabadiliko chanya…

Categorized Under: Global

Tuzo la Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) la Mabingwa wa Dunia hutolewa kwa watu binafsi, makundi ya watu na mashirika ambayo matendo yao yameleta…

Categorized Under: Global

Tuzo la Vijana Bingwa Duniani hutolewa kila mwaka kwa wajasiriamali saba walio na umri usiozidi miaka 30 walio na maono dhabiti ya kusababisha mabadiliko ya kudumu…

Categorized Under: Global

Karakana ndogo ya Nzambi Matee mjini Nairobi nchini Kenya imejazwa mabomba ya chuma na vyuma kutoka kwa mashine.  Wasioelewa wanaweza kustaajabu ila kwa kwa Matee,…

Categorized Under: Africa

Tuzo la Mabingwa wa Dunia linalotolewa na Umoja wa Mataifa ni tuzo la ngazi ya juu linalotolewa kwa heshima ya mazingira. Viongozi wa kipekee kutoka kwa serikali,…

Categorized Under: Global

Nairobi, January 20, 2020 – Kupendekeza washiriki wa mwaka wa 2020 wa  tuzo la Mabingwa wa Dunia, tuzo la ngazi ya juu linatolewa na Umoja wa Mataifa kwa heshima ya…

Categorized Under: Global

Patagonia imepokea tuzo  linalotolewa na Umoja wa Mataifa kwa heshima ya mazingira kutokana na kuwa na  maono ya ujasiriamali. Patagonia imetuzwa kutokana na…
Costa Rica yashinda tuzo muhimu la mazingira linalotolewa na Umoja wa Mataifa katika kitengo cha sera na uongozi Nchi kotoka Amerika ya Kati imetuzwa kwa kuwa…
  'Ant Forest', imepokea tuzo kuu la mazingira linatolewa na Umoja wa Mataifa katika kitengo cha motisha na kuchukua hatua 'Ant Forest' walituzwa kwa kuwahimiza…
Raia wa Kanada, mwanasayansi wa masuala ya hali ya hewa, Profesa Katharine Hayhoe ndiye mshindi wa Tuzo la Bingwa wa Dunia lilnalotolewa na Umoja wa Mataifa, katika…
Nyoka aina ya the black mamba ina sumu mbaya zaidi katika eneo la Kusini mwa jangwa la Afrika. Ukiumwa mara moja unaweza kupoteza maisha yako ndani ya masaa machache. Pia ndilo jina linalotumiwa na…
Nyoka aina ya the black mamba ina sumu mbaya zaidi katika eneo la Kusini mwa jangwa la Afrika. Ukiumwa mara moja unaweza kupoteza maisha yako ndani ya masaa…

Categorized Under: Africa

Kupitia kwa ushirikiano, tunaweza kutunza mazingira. Haya ndiyo watu wa kiasili wa Kalinga nchini Ufilipino walidhibitishia ulimwengu walipoweza kukomesha Mradi wa ujenzi wa Bwawa kwa Mto Chico. Hali…
Leyla Acaroglu alikuwa na umri wa miaka 19 wakati wake wa kwanza kuhudhuria somo la kubuni michoro. Alisikia kitu ambacho kilibadili mtazamo wake kuhusu dunia…

Showing 1 - 21 of 21