Clean Seas

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa lilizindua kampeni ya #CleanSeas mwezi wa Februari mwaka wa 2017, na lengo la kushirikisha serikali, umma, mashirika ya uraia na sekta ya binafsi kukabiliana na uchafuzi wa plastiki. Kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, kampeni hiyo itashughulikia chanzo kikuu cha uchafuzi baharini kwa kulenga uzalishaji na matumizi na plastiki inayotumika tu mara moja.

 

Campaign Banner Large
image
Campaign Banner Small
#Cleanseas
Campaign Website Address