29 May 2020 Video Mabadiliko ya tabia nchi

Kujiimarisha baada ya COVID-19 barani Afrika

Naibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa Joyce Msuya, ameshirikishwa kwenye video inaonyeshwa kwa televisheni ya France 24 inayohusu kujiimarisha kwa bara la Afrika baada ya COVID-19. Inazungumzia umuhimu wa kujiimarisha baada ya virusi vya korona.

More information: https://www.unenvironment.org/covid-19-updates

https://youtu.be/uYCRd2M_aqU

 

 

covid-19 response logo