Ukataji wa miti unaendelea katika kiwango cha kusikitisha kote ulimwenguni: hekta milioni 7 huharibiwa kila mwaka, sehemu iliyo karibu kutoshana na nchi ya Ureno.