Mikutano

Maelezo ya jumla kuhusu Kamati ya Mabalozi wa Kudumu

Sehemu ya mikutano kwenye hii potol hukuwezesha kupata kwa urahisi kalenda ya mikutano ya Kamati ya Mabalozi wa Kudumu na stakabadhi za kila mkutano.

Stakabadhi za mkutano ni pamoja na makala husika na taarifa kuhusu kila mkutano na jinsi ya kushiriki mkutano kupitia kwa video au linki ya sauti. Mikutano huanishwa kama mikutano ijayo na mikutano iliyopita. Ujumbe kuhusu mikutano ya kimataifa huwekwa kwenye hii sehemu.

.

Access the Roadmap for the UN Environment Programme Governing Bodies