06 Jun 2018 Blogpost Environmental rights and governance

Owino Uhuru: Maiti Watarajiwa

Wakazi wa mtaa wa Owino Uhuru, Kaunti ya Mombasa, wamekuwa wakifa mmoja baada ya mwingine kutokana na athari za sumu ya lead iliyozalishwa na kiwanda cha kuyeyusha betri.