Paul A. Newman na kituo cha NASA’s Goddard Space Flight Center ni Bingwa wa Dunia wa mwaka wa 2017 katika kitengo cha Sayansi na Ubunifu

Paul A. Newman na Kituo cha NASA’s Goddard Space Flight Center ni Bingwa wa Dunia wa mwaka wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa katika kitengo cha Sayansi na Ubunifu na kutokana na mchango wao wa kipekee kwa Mkataba wa Montreal- ambao umepunguza vitu vinavyoharibu ozoni kwa asili mia 99 na kusababisha tambiko la ozoni kuboreka.