Mobike, Bingwa wa Dunia wa mwaka wa 2017 katika kitengo cha Maono ya Ujasiriamali

Mobike ni Bingwa wa Dunia wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa kutokana na maono yake ya ujasiriamali ya kutoa suluhisho kwa uchafuzi wa hewa na mabadiliko ya tabia nchi kwa kuzingatia soko.