Mambo Muhimu Kutoka Maonyesho ya Tuzo la Mabingwa wa Dunia

Katika video hii fupi, tazama wakati muhimu kabisa wa Maonyesho ya Tuzo la Mabingwa wa Dunia la Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa yalioendeshwa na Dia Mirza na Alec Baldwin na yaliyofanyika Septemba 26, 2018 katika mji wa New York City.